Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 5:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 akaona vyombo viwili vimekaa kando ya ziwa: na wavuvi wametoka, wanaosha nyavu zao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa. Wavuvi wenyewe walikuwa wametoka, wanaosha nyavu zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa. Wavuvi wenyewe walikuwa wametoka, wanaosha nyavu zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa. Wavuvi wenyewe walikuwa wametoka, wanaosha nyavu zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa, zikiwa zimeachwa hapo na wavuvi waliokuwa wanaosha nyavu zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa, zikiwa zimeachwa hapo na wavuvi waliokuwa wanaosha nyavu zao.

Tazama sura Nakili




Luka 5:2
7 Marejeleo ya Msalaba  

Nae Yesu akitembea kando ya bahari ya Galilaya, akaona ndugu wawili, Simon aitwae Petro, na Andrea ndugu yake, wakitupa jarife baharini; maana walikuwa wavuvi.


Akaendelea mbele, akaona ndugu wengine wawili. Yakob wa Zebedayo, na Yohana ndugu yake, walikuwa katika chombo pamoja na Zebedayo baba yao, wakitengeneza nyavu zao; akawaita.


Nae akipita kando ya bahari ya Galilaya, akamwona Simon na Andrea ndugu yake, wakitupa jarife baharini; kwa maana walikuwa wavuvi.


Akaendelea mbele kidogo, akamwona Yakobo wa Zebedayo, na Yohana ndugu yake, nao pia walikuwa chomboni, wakizitengeneza nyavu zao.


IKAWA makutano walipomsonga, wakisikiliza neno la Mungu, yeye alikuwa akisimama kando ya ziwa la Genesareti:


Akaingia chombo kimoja, kilichokuwa cha Simon, akamtaka asogeze kidogo kutoka pwani. Akakaa, akawafundisha makutano katika chombo.


Andrea, ndugu ya Simon Petro, alikuwa mmoja wa wale wawili waliomsikia Yohana na kumfuata.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo