Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 5:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Lakini yeye alikuwa akijitenga jangwani na kusali.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Lakini yeye alikwenda zake mahali pasipo na watu, akawa anasali huko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Lakini yeye alikwenda zake mahali pasipo na watu, akawa anasali huko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Lakini yeye alikwenda zake mahali pasipo na watu, akawa anasali huko.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Lakini mara kwa mara Isa alijitenga nao ili kwenda mahali pa faragha kuomba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Lakini mara kwa mara Isa alijitenga nao ili kwenda mahali pa faragha kuomba.

Tazama sura Nakili




Luka 5:16
8 Marejeleo ya Msalaba  

Alipokwisha kuwaaga makutano, akapanda mlimani kwa faragha, kwenda kusali. Na ilipokuwa jioni, alikuwako huko peke yake.


Hatta alipokwisha kuagana nao akaenda zake mlimani kusali.


Na watu wote walipokwisha kubatizwa, na Yesu nae akiisha kubatizwa, na akisali, mbingu zilifunuka.


Ikawa katika siku zile akaomloka akaenda mlimani kuomba, akashinda usiku kucha, akimwomba Mungu.


Hatta baada ya maneno haya, panapo siku nane, akamchukua Petro na Yohana na Yakobo, akapanda mlimani kusali.


Ikawa alipokuwa akisali, sura ya uso wake ikageuka, na mavazi yake yakawa meupe, yakimetameta.


Bassi Yesu, akitambua ya kuwa walitaka kuja kumchukua illi wamfanye mfalme, akajitenga, akaenda tena mlimani, yeye peke yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo