Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 5:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Lakini khabari zake zikazidi kuenea, wakakutana makutano mengi kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Lakini habari za Yesu zilizidi kuenea kila mahali. Watu makundi mengi wakakusanyika ili kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Lakini habari za Yesu zilizidi kuenea kila mahali. Watu makundi mengi wakakusanyika ili kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Lakini habari za Yesu zilizidi kuenea kila mahali. Watu makundi mengi wakakusanyika ili kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Lakini habari zake Isa zikazidi sana kuenea kotekote kuliko wakati mwingine wowote. Makundi makubwa ya watu walikuwa wakikusanyika ili kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Lakini habari zake Isa zikazidi sana kuenea kotekote kuliko wakati mwingine wowote. Makutano makubwa ya watu yalikuwa yakikusanyika ili kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao.

Tazama sura Nakili




Luka 5:15
13 Marejeleo ya Msalaba  

Zikaenea khabari hizi katika inchi ile yote.


Lakini wakatoka, wakaeneza khabari zake katika inchi ile yote.


Khahari zake zikaenea marra inchi zote kando ya Galilaya.


Nae akatoka, akaanza kukhubiri mengi, na kulitangaza lile neno, hatta Yesu asiweze tena kuingia mjini kwa wazi; bali alikuwa nje mabali pasipo watu; wakamwendea kutoka killa pahali.


Yesu akajitenga, yeye na wanafunzi wake, akaenda baharini. Watu wengi sana wakamfuata toka Galilaya, na toka Yahudi, na toka Yerusalemi,


HUKO nyuma mkutano wa watu, watu elfu nyingi walipokusanyika hatta wakakanyagana, akaanza kuwaambia wanafunzi wake khassa, Jihadharini na chachu ya Mafarisayo, yaani unafiki.


Bassi makutano mengi wakafuatana nae; akageuka akawaambia,


Makutano mengi wakamfuata, kwa sababu waliziona ishara alizowafanyia wagonjwa.


Vivyo hivyo matendo mazuri ni dhahiri; na yale yasiyo dhahiri hayawezi kusetiriwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo