Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 5:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Nae akauyosha mkono wake, akamgusa, akinena, Nataka; takasika. Marra ukoma wake ukamwounoka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Yesu akanyosha mkono, akamgusa na kusema, “Nataka! Takasika!” Mara ule ukoma ukamwacha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Yesu akanyosha mkono, akamgusa na kusema, “Nataka! Takasika!” Mara ule ukoma ukamwacha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Yesu akanyosha mkono, akamgusa na kusema, “Nataka! Takasika!” Mara ule ukoma ukamwacha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Isa akanyoosha mkono wake, akamgusa yule mtu, akamwambia, “Nataka. Takasika!” Na mara ukoma wake ukatakasika.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Isa akanyoosha mkono wake, akamgusa yule mtu, akamwambia, “Nataka. Takasika!” Na mara ukoma wake ukatakasika.

Tazama sura Nakili

Luka 5:13
15 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akanyosha mkono wake, akamgusa, akinena, Nataka: takasika. Marra ukoma wake ukatakasika.

Akasimama karibu nae akaikemea ile homa, ikamwacha; marra akaondoka akawakhudumu.

Ikawa alipokuwa katika mji mmoja wa miji ile, tazama, palikuwa na mtu amejawa ukoma; nae alipomwona Yesu, akaanguka kifudifudi, akamwomba, akisema, Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa.

Akamwagiza asimwambie mtu: illa enenda, ukajionyeshe kwa kuhani, ukatoe kwa kutakasika kwako alivyoamuru Musa, illi kuwa ushuhuda kwao.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo