Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 5:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Na walipoleta vyombo pwani, wakaacha vyote wakamfuata.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Basi, baada ya kuzileta zile mashua ukingoni mwa ziwa, wakaacha yote, wakamfuata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Basi, baada ya kuzileta zile mashua ukingoni mwa ziwa, wakaacha yote, wakamfuata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Basi, baada ya kuzileta zile mashua ukingoni mwa ziwa, wakaacha yote, wakamfuata.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Hivyo wakasogeza mashua zao hadi ufuoni mwa bahari, wakaacha kila kitu na kumfuata.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Hivyo wakasogeza mashua zao mpaka ufuoni mwa bahari, wakaacha kila kitu na kumfuata.

Tazama sura Nakili




Luka 5:11
11 Marejeleo ya Msalaba  

Apendae baba au mama kuliko mimi, hanifai; na apendae mwana au binti kuliko mimi hanifai.


Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata: tutapata nini bassi?


Na killa mtu aliyeacha nyumba, au ndugu waume, au ndugu wake, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea marra mia, na kurithi uzima wa milele.


Marra wakaziacha nyavu, wakamfuata.


Marra wakakiacha chombo na baba yao, wakamfuata.


Yesu akamkazia macho, akampenda, akamwambia, Umepungukiwa neno moja Enenda, ukauze ulivyo navyo vyote, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni: ukiisha, njoo ukajitwike msalaba wako unifuate.


Akaacha vyote akaondoka akamfuata.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo