Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 5:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Kadhalika Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, waliokuwa washiriki wa Simon, Yesu akamwambia Simon, Usiogope; tangu sasa utakuwa ukivua watu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Hali kadhalika Yakobo na Yohane, wana wa Zebedayo, waliokuwa wavuvi wenzake Simoni. Yesu akamwambia Simoni, “Usiogope; tangu sasa utakuwa ukivua watu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Hali kadhalika Yakobo na Yohane, wana wa Zebedayo, waliokuwa wavuvi wenzake Simoni. Yesu akamwambia Simoni, “Usiogope; tangu sasa utakuwa ukivua watu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Hali kadhalika Yakobo na Yohane, wana wa Zebedayo, waliokuwa wavuvi wenzake Simoni. Yesu akamwambia Simoni, “Usiogope; tangu sasa utakuwa ukivua watu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Vivyo hivyo wenzake Simoni, yaani Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, walishangazwa pia. Ndipo Isa akamwambia Simoni, “Usiogope, tangu sasa utakuwa mvuvi wa watu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Vivyo hivyo wenzake Simoni, yaani Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, walishangazwa pia. Ndipo Isa akamwambia Simoni, “Usiogope, tangu sasa utakuwa mvuvi wa watu.”

Tazama sura Nakili

Luka 5:10
14 Marejeleo ya Msalaba  

Tena ufalme wa mbinguni umefanana na juya, lililotupwa baharini, likakusanya za killa namna:

Marra Yesu akasema nao, akinena, Jipeni moyo; ni mimi; msiogope.

Ndipo mama ya wana wa Zebedayo akamwendea pamoja na wanawe, akimsujudia, akimwomba neno.

Akawaambia, Nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wii watu.

Akaendelea mbele, akaona ndugu wengine wawili. Yakob wa Zebedayo, na Yohana ndugu yake, walikuwa katika chombo pamoja na Zebedayo baba yao, wakitengeneza nyavu zao; akawaita.

Yesu akawaambia, Nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu.

Wakawaashiri wenzi wao katika chombo cha pili, waje kuwasaidia. Wakaenda wakavijaza vyombo vyote viwili, hatta kuvizamisha.

Kwa maana ushangao umemshika yeye, na wote waliokuwako pamoja nae, kwa uvuvi wa samaki walioupata.

Simon ambae alimpa jina la pili Petro, na Andrea, ndugu yake; Yakobo na Yohana, Filipo na Bartholomayo.

Simon Petro, na Tomaso aitwae Didumo, na Nathanael wa Kana wa Galilaya, na wana wa Zebedayo, na watu wengine wawili katika wanafunzi wake, walikuwa mahali pamoja.

Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha mbalimbali, kama Roho alivyowajalia kutamka.

Bassi mtu akitaka khabari za Tito, yeye ni mshirika wangu, na mtenda kazi pamoja nami; tena akitaka khabari za ndugu zetu, wao ni mitume ya makanisa, na utukufu wa Kristo.

wapate tena fahamu zao, na kutoka katika mtego wa Shetani, wamepatikana wahayi nae, hatta kuyafanya apendayo Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo