Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 4:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Yesu akamwambia, Nenda zako nyuma yangu, Shetani: maana imeandikwa, Utamsujudia Bwana Mungu wako, nae peke yake utamwabudu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Utamwabudu Bwana Mungu wako, na kumtumikia yeye peke yake.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Utamwabudu Bwana Mungu wako, na kumtumikia yeye peke yake.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Utamwabudu Bwana Mungu wako, na kumtumikia yeye peke yake.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Isa akamjibu, “Imeandikwa: ‘Mwabudu Mwenyezi Mungu, Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Isa akamjibu, “Imeandikwa: ‘Mwabudu Bwana Mwenyezi Mungu wako na umtumikie yeye peke yake.’ ”

Tazama sura Nakili




Luka 4:8
14 Marejeleo ya Msalaba  

Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u chukizo kwangu: maana huyawazi mambo ya Mungu, bali yaliyo ya wana Adamu.


Ndipo Yesu akamwambia, Nenda zako, Shetani: kwa maana imeandikwa, Utamsujudia Bwana Mungu wako, nae peke yake utamwabudu.


Yesu akamjibu, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, hali kwa killa neno la Mungu.


bassi, wewe ukisujudu mbele yangu, yote yatakuwa yako.


Bassi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, nae atawakimbia.


mpingeni, mkiwa imara katika imani, mkijua ya kuwa mateso yaleyale yanatimizwa kwa ndugu zenu walioko duniani.


Nikaanguka mbele ya miguu yake, nimsujudie, akaniambia, Angalia, usifanye hivi: mimi mjoli wako na mmoja wa ndugu zako walio na ushuhuda wa Yesu. Msujudu Mungu: kwa maana ushuhuda wa Yesu ni roho ya unabii.


Akaniambia, Angalia, usifanye hivyo; mimi mjoli wako, na wa ndugu zako manabii na wa wale washikao maneno ya kitabu hiki. Msujuduni Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo