Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 4:43 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

43 Akawaambia, Imenipasa kukhubiri khabari njema ya ufalme wa Mungu katika miji mingine pia: maana kwa hiyo nalitumwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Lakini yeye akawaambia, “Ninapaswa kuhubiri Habari Njema za ufalme wa Mungu katika miji mingine pia, maana nilitumwa kwa ajili hiyo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Lakini yeye akawaambia, “Ninapaswa kuhubiri Habari Njema za ufalme wa Mungu katika miji mingine pia, maana nilitumwa kwa ajili hiyo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Lakini yeye akawaambia, “Ninapaswa kuhubiri Habari Njema za ufalme wa Mungu katika miji mingine pia, maana nilitumwa kwa ajili hiyo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Lakini yeye akawaambia, “Imenipasa kuhubiri Habari Njema ya ufalme wa Mungu katika miji mingine pia, kwa maana kwa kusudi hili nilitumwa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Lakini yeye akawaambia, “Imenipasa kuhubiri habari njema za Ufalme wa Mwenyezi Mungu katika miji mingine pia, kwa maana kwa kusudi hili nilitumwa.”

Tazama sura Nakili




Luka 4:43
12 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akazunguka katika Galilaya yote, akifundisha katika sunagogi zao, na kuikhubiri injili ya ufalme, na kuponya ugonjwa na udhaifu wa killi namna katika watu.


Hatta alfajiri na mapema sana, akaondoka, akatoka akaenda zake mahali pasipo watu akasali huko.


Bassi Yesu akawaambia marra ya pili, Amani kwenu; kama Baba alivyonipeleka, nami nawatuma ninyi.


Yanipasa kuzifanya kazi zake aliyenipeleka maadam ni mchana: usiku waja, asipoweza mtu kufanya kazi.


khabari za Yesu wa Nazareti, jinsi Mungu alivyomtia mafuta kwa Roho Mtakatifu na uguvu: nae akatembea huko na huko, akitenda kazi njema na kuponya wote walioonewa na Shetani; kwa maana Mungu alikuwa pamoja nae.


likhubiri neno, fanya bidii, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, kaonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo