Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 4:42 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

42 Hatta ulipokuwa mchana akatoka akaenda mahali pasipokuwa na watu: makutano wakamtafutatafuta, wakamfikilia, wakataka kumzuia asiondoke kwao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

42 Kesho yake asubuhi, Yesu aliondoka akaenda mahali pa faragha. Watu wakawa wanamtafuta. Hao watu walipofika mahali alipokuwa, wakajaribu kumzuia ili asiondoke kwao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 Kesho yake asubuhi, Yesu aliondoka akaenda mahali pa faragha. Watu wakawa wanamtafuta. Hao watu walipofika mahali alipokuwa, wakajaribu kumzuia ili asiondoke kwao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 Kesho yake asubuhi, Yesu aliondoka akaenda mahali pa faragha. Watu wakawa wanamtafuta. Hao watu walipofika mahali alipokuwa, wakajaribu kumzuia ili asiondoke kwao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

42 Kesho yake, kulipopambazuka, Isa alienda mahali pa faragha. Watu wengi wakawa wanamtafuta kila mahali, nao walipomwona wakajaribu kumzuia asiondoke.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

42 Kesho yake, kulipopambazuka, Isa alikwenda mahali pa faragha. Watu wengi wakawa wanamtafuta kila mahali, nao walipomwona wakajaribu kumzuia asiondoke.

Tazama sura Nakili

Luka 4:42
10 Marejeleo ya Msalaba  

Nae akatoka, akaanza kukhubiri mengi, na kulitangaza lile neno, hatta Yesu asiweze tena kuingia mjini kwa wazi; bali alikuwa nje mabali pasipo watu; wakamwendea kutoka killa pahali.

Wakamshurutisha, wakisema, Kaa pamoja nasi, kwa maana kumekuchwa, na mchana unakwisha sasa. Akaingia kukaa nao.

Ikawa katika siku zile akaomloka akaenda mlimani kuomba, akashinda usiku kucha, akimwomba Mungu.

Yesu akawaambia, Chakula changu ndicho hiki, niyatende mapenzi yake aliyenipeleka nikaimalize kazi yake.

Bassi wale Wasamaria walipomwendea walimsihi akae kwao; akakaa huko siku mbili.

bassi makutano walipoona ya kuwa Yesu hakuwako huko wala wanafunzi wake, wenyewe wakaingla vyomboni, wakaenda Kapernaum wakimtafuta Yesu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo