Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 4:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

39 Akasimama karibu nae akaikemea ile homa, ikamwacha; marra akaondoka akawakhudumu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Yesu akaja akasimama karibu naye, akaikemea ile homa, nayo ikamwacha. Yule mama akainuka mara, akawatumikia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Yesu akaja akasimama karibu naye, akaikemea ile homa, nayo ikamwacha. Yule mama akainuka mara, akawatumikia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Yesu akaja akasimama karibu naye, akaikemea ile homa, nayo ikamwacha. Yule mama akainuka mara, akawatumikia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Hivyo Isa akamwinamia na kukemea ile homa, nayo ikamwacha. Akaamka mara moja, naye akaanza kuwahudumia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Hivyo Isa akamwinamia na kukemea ile homa, nayo ikamwacha. Akaamka saa ile ile, naye akaanza kuwahudumia.

Tazama sura Nakili




Luka 4:39
7 Marejeleo ya Msalaba  

Marra walipotoka katika sunagogi, wakalika nyumbani kwa Simon na Andrea, pamoja na Yakobo na Yohana.


Yesu akamkemea, akinena, Fumba kinywa, mtoke. Yule pepo akamwangusha katikati, akamtoka, asimdhuru.


Pepo wakawatoka wengi wakipaaza sauti zao wakisema, Wewe u Kristo, Mwana wa Mungu. Akawakemea, asiwaache kunena, kwa sababu walijua ya kuwa yeye ndiye Kristo.


Wakamwendea, wakamwamsha, wakisema, Mwalimu, Mwalimu, tunaangamia. Akaondoka, akaukemea upepo, na msukosuko wa maji, vikakoma, kukawa shwari.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo