Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 4:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Akatoka katika sunagogi, akaingia nyumba ya Simon. Bassi mkwewe Simon alikuwa ameshikwa na homa kali, wakamwomba kwa ajili yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Yesu alitoka katika lile sunagogi, akaenda nyumbani kwa Simoni. Mama mmoja, mkwewe Simoni, alikuwa na homa kali; wakamwomba amponye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Yesu alitoka katika lile sunagogi, akaenda nyumbani kwa Simoni. Mama mmoja, mkwewe Simoni, alikuwa na homa kali; wakamwomba amponye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Yesu alitoka katika lile sunagogi, akaenda nyumbani kwa Simoni. Mama mmoja, mkwewe Simoni, alikuwa na homa kali; wakamwomba amponye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Isa akatoka katika sinagogi, akaenda nyumbani mwa Simoni. Basi huko alimkuta mama mkwe wa Simoni akiwa ameshikwa na homa kali, nao wakamwomba Isa amsaidie.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Isa akatoka katika sinagogi, akaenda nyumbani kwa Simoni. Basi huko alimkuta mama mkwe wa Simoni akiwa ameshikwa na homa kali, nao wakamwomba Isa amsaidie.

Tazama sura Nakili




Luka 4:38
9 Marejeleo ya Msalaba  

Nae hakumjibu neno. Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakinena. Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu.


Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.


Lakini hatta sasa najua ya kuwa vyovyote utakavyomwomba Mungu, Mungu atakupa.


Bassi wale maumbu wakatuma ujumbe kwake, wakisema, Bwana, yeye umpendae hawezi.


Hatuna uwezo kuchukua pamoja nasi mke aliye ndugu, kama wao mitume wengine, na ndugu wa Bwana, na Kefa?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo