Luka 4:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192133 Na palikuwapo katika sunagogi yao mtu mwenye roho ya pepo mchafu: akapaaza sauti kwa nguvu, akinena, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Na katika lile sunagogi kulikuwa na mtu aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu; akapiga ukelele wa kuziba masikio: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Na katika lile sunagogi kulikuwa na mtu aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu; akapiga ukelele wa kuziba masikio: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Na katika lile sunagogi kulikuwa na mtu aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu; akapiga ukelele wa kuziba masikio: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Ndani ya sinagogi palikuwa na mtu aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu. Naye akapaza sauti kwa nguvu akisema, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Ndani ya sinagogi palikuwa na mtu aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu. Naye akapiga kelele kwa nguvu akisema, Tazama sura |