Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 4:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 wakashangaa mno kwa mafundisho yake, kwa sababu neno lake lilikuwa na uweza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Wakastaajabia uwezo aliokuwa nao katika kufundisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Wakastaajabia uwezo aliokuwa nao katika kufundisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Wakastaajabia uwezo aliokuwa nao katika kufundisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Wakashangazwa sana na mafundisho yake, maana maneno yake yalikuwa na mamlaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Wakashangazwa sana na mafundisho yake, maana maneno yake yalikuwa na mamlaka.

Tazama sura Nakili




Luka 4:32
15 Marejeleo ya Msalaba  

Wakashangaa kwa mafundisho yake; kwa sababu alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye mamlaka wala si kama waandishi.


Wote waliomsikia wakataajahu kwa akili zake na majibu yake.


Na palikuwapo katika sunagogi yao mtu mwenye roho ya pepo mchafu: akapaaza sauti kwa nguvu, akinena,


Ushangao ukawashika wote, wakaambiana wao kwa wao, wakinena, Neno gani hili, maana kwa mamlaka na uweza awaamuru pepo wachafu, nao watoka?


Roho ndiyo itiayo uzima; mwili haufai kitu; maneno ninayowaambieni ni roho, tena ni uzima.


Wale watumishi wakajibu, Hajanena kamwe mwana Adamu aliye yote kama huyu anavyonena.


lakini tumekataa mambo ya aibu yaliyosetirika, wala hatuenendi kwa ujanja, wala kulichanganya neno la Mungu na uwongo; hali kwa kuidhihirisha iliyo kweli twajionyesha kuwa na haki, dhamiri za watu zikitushuhudia mhele za Mungu.


kwamba injili yetu haikuwafikia katika maneno tu, bali na katika nguvu, na katika Roho Mtakatifu, na uthubutifu mwingi; kama mnavyojua jinsi zilivyokuwa tabia zetu kwenu, kwa ajili yenu.


Nena maneno hayo, ukaonye ukakaripie kwa mamlaka yote; mtu aliye yote asikudharau.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo