Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 4:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Akashukia Kapernaum, mji wa Galilaya, akawa akifundisha siku ya sabato:

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Kisha Yesu akashuka mpaka Kafarnaumu wilayani Galilaya, akawa anawafundisha watu siku ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Kisha Yesu akashuka mpaka Kafarnaumu wilayani Galilaya, akawa anawafundisha watu siku ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Kisha Yesu akashuka mpaka Kafarnaumu wilayani Galilaya, akawa anawafundisha watu siku ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Kisha Isa akashuka kwenda Kapernaumu, mji wa Galilaya, na katika siku ya Sabato akawa anafundisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Kisha Isa akashuka kwenda Kapernaumu, mji wa Galilaya, na katika siku ya Sabato akawa anafundisha.

Tazama sura Nakili

Luka 4:31
14 Marejeleo ya Msalaba  

Watakapowaudhi katika mji huu, kimbilieni mwingine: kwa maana ni kweli nawaambieni, Hamtaimaliza miji yote ya Israeli, hatta ajapo Mwana wa Adamu.

akatoka Nazareti, akaenda, akakaa Kapernaum, ulioko pwani, mipakani mwa Zabulon na Nafthalim:

Akawaambia, Hapana shaka mtaniambia methali hii, Tabibu, jiponye nafsi yako: mambo yote tuliyosikia yametendeka Kapernaum, yatende na hapa pia katika inchi yako mwenyewe.

Lakini Wayahudi wakawafitinisha wanawake watawa na watu wenye cheo na wakuu wa mji, wakawataharakisha watu wawaudhi Paolo na Barnaba; wakawatoa katika mipaka yao.

Akatoa hoja zake katika sunagogi killa sabato akawavuta Wayahudi na Wayunani waamini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo