Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 4:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Wakaondoka wakamtoa nje ya mji, wakamchukua hatta ukingo wa kilima kile kilichojengwa mji wao, wapate kumporomosha:

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Wakasimama, wakamtoa nje ya mji wao uliokuwa umejengwa juu ya kilima, wakampeleka mpaka kwenye ukingo wa kilima hicho ili wamtupe chini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Wakasimama, wakamtoa nje ya mji wao uliokuwa umejengwa juu ya kilima, wakampeleka mpaka kwenye ukingo wa kilima hicho ili wamtupe chini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Wakasimama, wakamtoa nje ya mji wao uliokuwa umejengwa juu ya kilima, wakampeleka mpaka kwenye ukingo wa kilima hicho ili wamtupe chini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Wakasimama, wakamtoa nje ya mji, wakamchukua hadi kwenye kilele cha mlima ambao mji huo ulikuwa umejengwa juu yake, ili wamtupe chini kutoka mteremko mkali.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Wakasimama, wakamtoa nje ya mji, wakamchukua hadi kwenye kilele cha mlima mahali ambapo mji huo ulikuwa umejengwa, ili wamtupe chini kutoka kwenye mteremko mkali.

Tazama sura Nakili

Luka 4:29
13 Marejeleo ya Msalaba  

Wakajazwa hasira wote katika sunagogi walipoyasikia haya.

Najua ya kuwa m mzao wa Ibrahimu; lakini mnatafuta kuniua kwa sababu neno langu halina nafasi ndani yenu.

Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu niliyewaambia kweli ile niliyoisikia kwa Baba yangu. Ibrahimu hakufanya hivi. Ninyi nmazitenda kazi za baba yenu.

Bassi wakatwaa mawe wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.

Kwa ajili hii Yesu nae, illi awatakase watu wake kwa damu yake miwenyewe, alitesyia nje ya mlango.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo