Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 4:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Tena palikuwa wengi wenye ukoma katika Israeli zamani za nabii Elisha: wala hapana aliyetakasika illa Naaman, mtu wa Sham.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Tena, katika nchi ya Israeli nyakati za Elisha kulikuwa na wenye ukoma wengi. Hata hivyo, hakuna yeyote aliyetakaswa ila tu Naamani mwenyeji wa Siria.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Tena, katika nchi ya Israeli nyakati za Elisha kulikuwa na wenye ukoma wengi. Hata hivyo, hakuna yeyote aliyetakaswa ila tu Naamani mwenyeji wa Siria.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Tena, katika nchi ya Israeli nyakati za Elisha kulikuwa na wenye ukoma wengi. Hata hivyo, hakuna yeyote aliyetakaswa ila tu Naamani mwenyeji wa Siria.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Pia palikuwa na wengi wenye ukoma katika Israeli katika siku za nabii Al-Yasa, lakini hakuna hata mmoja wao aliyetakaswa, isipokuwa Naamani mtu wa Shamu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Pia palikuwa na wengi wenye ukoma katika Israeli katika siku za nabii Al-Yasa, lakini hakuna hata mmoja wao aliyetakaswa, isipokuwa Naamani mtu wa Shamu.”

Tazama sura Nakili

Luka 4:27
10 Marejeleo ya Msalaba  

jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akaila mikate iliyotolewa kwa Mungu, isiyo halali kuliwa nae wala na wenzi wake, illa na makuhani peke yao?

Yesu akanyosha mkono wake, akamgusa, akinena, Nataka: takasika. Marra ukoma wake ukatakasika.

Wakajazwa hasira wote katika sunagogi walipoyasikia haya.

Nilipokuwa pamoja nao ulimwenguni, mimi naliwalinda kwa jina lako: wale ulionipa naliwatunza, wala hapana mmojawapo wao aliyepotea, illa yule mwana wa upotevu maandiko yapate kutimizwa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo