Luka 4:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192126 wala hakutumwa Eliya kwa mmojawapo wao, illa kwa mjane mmoja wa Sarepta, mji wa Sidon. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Hata hivyo, Elia hakutumwa kwa mjane yeyote ila kwa mwanamke mjane wa Sarefathi katika Sidoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Hata hivyo, Elia hakutumwa kwa mjane yeyote ila kwa mwanamke mjane wa Sarefathi katika Sidoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Hata hivyo, Elia hakutumwa kwa mjane yeyote ila kwa mwanamke mjane wa Sarefathi katika Sidoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Hata hivyo Ilya hakutumwa hata kwa mmoja wao, bali kwa mjane mmoja wa Sarepta katika nchi ya Sidoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Hata hivyo Ilya hakutumwa hata kwa mmoja wao, bali kwa mjane mmoja wa Sarepta katika nchi ya Sidoni. Tazama sura |