Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 4:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Akawaambia, Amin, nawaambieni, Hapana nabii apatae kukubaliwa katika inchi yake mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Akaendelea kusema, “Hakika nawaambieni, nabii hatambuliwi kijijini mwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Akaendelea kusema, “Hakika nawaambieni, nabii hatambuliwi kijijini mwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Akaendelea kusema, “Hakika nawaambieni, nabii hatambuliwi kijijini mwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Isa akasema, “Amin, nawaambia, hakuna nabii anayekubalika katika mji wake mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Isa akasema, “Amin, nawaambia, hakuna nabii anayekubalika katika mji wake mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Luka 4:24
6 Marejeleo ya Msalaba  

Wakachukizwa nae. Yesu akawaambia, Nabii hakosi heshima, isipokuwa katika inchi yake mwenyewe, na nyumbani mwake mwenyewe.

Watu wengi zaidi wakamwamini kwa sababu ya neno lake.

Kwa maana Yesu mwenyewe alishuhudu ya kwamba nabii hana heshima katika inchi yake mwenyewe.

Mimi ni mtu wa Kiyahudi, nalizaliwa Tarso, mji wa Kilikia, nikalelewa katika niji huu miguumi pa Gamaliel, nikafundishwa sharia ya baba zetu kwa usahihi, nikawa mtu wa ijtihadi kwa Mungu kama ninyi nyote mlivyo leo hivi:

Tufuate:

Matangazo

Matangazo