Luka 4:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192121 Akaanza kuwaambia, Leo andiko hili limetimia masikioni mwenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Naye akaanza kuwaambia, “Andiko hili mlilosikia limetimia leo.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Naye akaanza kuwaambia, “Andiko hili mlilosikia limetimia leo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Naye akaanza kuwaambia, “Andiko hili mlilosikia limetimia leo.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Ndipo akaanza kwa kuwaambia, “Leo andiko hili limetimia mkiwa mnasikia.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Ndipo akaanza kwa kuwaambia, “Leo Andiko hili limetimia mkiwa mnasikia.” Tazama sura |