Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 4:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Akapewa chuo cha nabii Isaya: bassi alipokwisha kukifunua chuo hicho, akapaona pahali palipoandikwa,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Akapokea kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na akakuta mahali palipoandikwa:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Akapokea kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na akakuta mahali palipoandikwa:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Akapokea kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na akakuta mahali palipoandikwa:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 naye akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na kukuta mahali palipoandikwa:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 naye akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na kukuta mahali palipoandikwa:

Tazama sura Nakili




Luka 4:17
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ibrahimu akasema, Wana Musa na manabii; wawasikilize wao.


Na Daud mwenyewe asema katika chuo cha Zaburi, Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume,


Akaenda Nazareti, mahali alipokuwa amelelewa: akaingia katika sunagogi siku ya sabato, kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama illi asome.


Roho ya Bwana ni juu yangu, Kwa sababu amenitia mafuia kuwakhubiri maskini khabari njema. Amenituma kuwaponya waliopondeka moyo, Kuwatangazia wafungwa kufunguliwa, na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha wa huru waliosetwa,


Akakifunga chuo, akampa mkhudumu, akaketi: watu wote waliokuwa katika sunagogi wakamkazia macho.


Kiisha baada ya kusomwa torati na chuo cha manabii, wakuu wa sunagogi wakatuma mtu kwao, na kuwaambia, Ndugu, kama mkiwa na neno la kuwafaa watu hawa, lisemeni.


Kwa maana wakaao Yerusalemi, na wakuu wao, kwa kuwa hawakumjua huyu, wala sauti za manabii wanaosomwa killa sabato, wamezitimiza kwa kumhukumu.


Bassi Mungu akaghairi, akawaacha, wakaliabudu jeshi la mbinguni, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha manabii, Je! mlinitolea dhabihu na sadaka Miaka arubaini katika jangwa, enyi nyumba ya Israeli?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo