Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 4:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Akaenda Nazareti, mahali alipokuwa amelelewa: akaingia katika sunagogi siku ya sabato, kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama illi asome.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Basi, Yesu alikwenda Nazareti, mahali alipolelewa, na siku ya Sabato, aliingia katika sunagogi kama ilivyokuwa desturi yake. Akasimama ili asome Maandiko Matakatifu kwa sauti.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Basi, Yesu alikwenda Nazareti, mahali alipolelewa, na siku ya Sabato, aliingia katika sunagogi kama ilivyokuwa desturi yake. Akasimama ili asome Maandiko Matakatifu kwa sauti.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Basi, Yesu alikwenda Nazareti, mahali alipolelewa, na siku ya Sabato, aliingia katika sunagogi kama ilivyokuwa desturi yake. Akasimama ili asome Maandiko Matakatifu kwa sauti.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Isa akaenda Nasiri, alipolelewa, na siku ya Sabato alienda katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake. Akasimama ili asome,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Isa akaenda Nasiri, alipolelewa, na siku ya Sabato alikwenda katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake. Akasimama ili asome,

Tazama sura Nakili




Luka 4:16
14 Marejeleo ya Msalaba  

akaenda, akakaa mji uliokwitwa Nazareti: illi litimie neno lililonenwa na manabii, Atakwitwa Mnazorayo.


Nao walipokwisha kuyatimiza yote yaliyomo katika sharia ya Bwana, wakarudi Galilaya hatta mji wao Nazareti,


Hatta alipopata miaka kumi na miwili, wakapanda kwenda Yerusalemi, kama ilivyokuwa desturi ya siku kuu:


Akashuka pamoja nao, akafika Nazareti, akawa anawatii: mama yake akayahifadhi maneno haya yote moyoni mwake.


Nae alikuwa akifundisha katika masunagogi yao, akitukuzwa na watu wote.


Akapewa chuo cha nabii Isaya: bassi alipokwisha kukifunua chuo hicho, akapaona pahali palipoandikwa,


Akaanza kuwaambia, Leo andiko hili limetimia masikioni mwenu.


Akawaambia, Hapana shaka mtaniambia methali hii, Tabibu, jiponye nafsi yako: mambo yote tuliyosikia yametendeka Kapernaum, yatende na hapa pia katika inchi yako mwenyewe.


Yesu akamjibu, Mimi nimesema na ulimwengu kwa wazi; mimi siku zote nalifundisha katika masunagogi na katika hekalu, wakusanyikapo Wayahudi siku zote; wala kwa siri sikusema neno.


Na Paolo, kama ilivyokuwa desturi yake, akaingia mle walimo, akahujiana nao kwa maneno yii maandiko sabato tatu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo