Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 4:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Yesu akarudi kwa nguvu za Roho hatta Galilaya, khabari zake zikaenea katika inchi yote iliyo kando kando.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Hapo Yesu alirudi Galilaya akiwa amejaa nguvu za Roho Mtakatifu, na habari zake zikaenea katika sehemu zote za jirani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Hapo Yesu alirudi Galilaya akiwa amejaa nguvu za Roho Mtakatifu, na habari zake zikaenea katika sehemu zote za jirani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Hapo Yesu alirudi Galilaya akiwa amejaa nguvu za Roho Mtakatifu, na habari zake zikaenea katika sehemu zote za jirani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Kisha Isa akarudi hadi Galilaya, akiwa amejaa nguvu za Roho wa Mungu, nazo habari zake zikaenea katika sehemu zote za nchi za kandokando.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Kisha Isa akarudi mpaka Galilaya, akiwa amejaa nguvu za Roho wa Mwenyezi Mungu, nazo habari zake zikaenea katika sehemu zote za nchi za kandokando.

Tazama sura Nakili




Luka 4:14
10 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu aliposikia ya kwamba Yohana amefungwa, akaenda zake hatta Galilaya;


Zikaenea khabari hizi katika inchi ile yote.


Lakini wakatoka, wakaeneza khabari zake katika inchi ile yote.


Hatta baada ya Yohana kutiwa gerezani, Yesu akaenda Galilaya, akiikhubiri injili ya ufalme wa Mungu,


Khahari zake zikaenea marra inchi zote kando ya Galilaya.


Hatta alipomaliza killa jaribu Shetani akaondoka kwake kwa muda.


Khabari zake zikaenea katika inchi zilizo kando kando killa pahala.


Baada ya siku hizo mbili akaondoka huko, akaenda Galilaya.


jambo lile mmelijua, lililoenea katika Yahudi yote likianzia Galilaya, haada ya ubatizo alioukhubiri Yohana;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo