Luka 4:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192113 Hatta alipomaliza killa jaribu Shetani akaondoka kwake kwa muda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Ibilisi alipokwisha mjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Ibilisi alipokwisha mjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Ibilisi alipokwisha mjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Isa hadi wakati mwingine ufaao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Isa mpaka wakati mwingine ufaao. Tazama sura |