Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 4:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Yesu akajibu akamwambia, Imenenwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Lakini Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Lakini Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Lakini Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Isa akamjibu, “Imenenwa: ‘Usimjaribu Mwenyezi Mungu, Mungu wako.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Isa akamjibu, “Imesemwa, ‘Usimjaribu Bwana Mwenyezi Mungu wako.’ ”

Tazama sura Nakili




Luka 4:12
8 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamwambia. Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.


Hatta alipomaliza killa jaribu Shetani akaondoka kwake kwa muda.


Wala tusimjaribii Bwana, kama wengine wao walivyomjaribu, wakaharibiwa na nyoka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo