Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 4:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake wakulinde,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 kwa maana imeandikwa: ‘Atawaamuru malaika wake wakulinde,’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 kwa maana imeandikwa: ‘Atawaamuru malaika wake wakulinde,’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 kwa maana imeandikwa: ‘Atawaamuru malaika wake wakulinde,’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 kwa maana imeandikwa: “ ‘Atakuagizia malaika wake ili wakulinde kwa uangalifu;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 kwa maana imeandikwa: “ ‘Atakuagizia malaika zake ili wakulinde;

Tazama sura Nakili




Luka 4:10
6 Marejeleo ya Msalaba  

na, Mikononi mwao watakuchukua, Usije ukajikwaa mguu wako kalika jiwe.


Shetani akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, liambie jiwe hili liwe mkate.


Yesu akamwambia, Nenda zako nyuma yangu, Shetani: maana imeandikwa, Utamsujudia Bwana Mungu wako, nae peke yake utamwabudu.


Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.


Hawo wote si roho zitumikazo, wakitumwa kuwakhudumu wale watakaourithi wokofu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo