Luka 4:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19211 NA Yesu, akijaa Roho Mtakatifu, akarudi kutoka Yordani: akaongozwa na Roho kwenda jangwani, akijaribiwa na Shetani muda wa siku arubaini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Yesu alitoka mtoni Yordani akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akaongozwa na Roho mpaka jangwani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Yesu alitoka mtoni Yordani akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akaongozwa na Roho mpaka jangwani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Yesu alitoka mtoni Yordani akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akaongozwa na Roho mpaka jangwani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Isa, akiwa amejaa Roho Mtakatifu wa Mungu, akarudi kutoka Yordani. Akaongozwa na Roho wa Mungu hadi nyikani, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Isa, akiwa amejaa Roho wa Mwenyezi Mungu, akarudi kutoka Yordani. Akaongozwa na Roho wa Mwenyezi Mungu hadi nyikani, Tazama sura |