Luka 3:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19215 Killa bonde litajazwa, Na killa jabali na mlima utashushwra, Palipopotoka patakuwa pamenyoka, Na njia zilizoparuza zitakuwa njia sawa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kila bonde litafukiwa, kila mlima na kilima vitasawazishwa; palipopindika patanyoshwa, njia mbaya zitatengenezwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kila bonde litafukiwa, kila mlima na kilima vitasawazishwa; palipopindika patanyoshwa, njia mbaya zitatengenezwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kila bonde litafukiwa, kila mlima na kilima vitasawazishwa; palipopindika patanyoshwa, njia mbaya zitatengenezwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kila bonde litajazwa, kila mlima na kilima vitashushwa. Njia zilizopinda zitanyooshwa, na zilizoparuza zitasawazishwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kila bonde litajazwa, kila mlima na kilima vitashushwa. Njia zilizopinda zitanyooshwa, na zilizoparuza zitasawazishwa. Tazama sura |