Luka 3:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19214 kaina ilivyoandikwa katika chuo cha maneno ya nabii Isaya, Sauti yake apigae mbiu jangwani, Itengenezeni njia ya Bwana, Nyosheni mapito yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Ndivyo ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii Isaya: “Sauti ya mtu anaita jangwani: ‘Mtayarishieni Bwana njia yake; nyosheni barabara zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Ndivyo ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii Isaya: “Sauti ya mtu anaita jangwani: ‘Mtayarishieni Bwana njia yake; nyosheni barabara zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Ndivyo ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii Isaya: “Sauti ya mtu anaita jangwani: ‘Mtayarishieni Bwana njia yake; nyosheni barabara zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kama ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii Isaya: “Sauti ya mtu aliaye nyikani, ‘Itengenezeni njia ya Mwenyezi Mungu, yanyoosheni mapito yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kama ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii Isaya: “Sauti ya mtu aliaye nyikani, ‘Itengenezeni njia ya Mwenyezi Mungu, yanyoosheni mapito yake. Tazama sura |