Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 3:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 wa Yakob, wa Isaak, wa Ibrahimu, wa Tara, wa Nahor,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 aliyekuwa mwana wa Yakobo, mwana wa Isaka, mwana wa Abrahamu, mwana wa Tera, mwana wa Nahori,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 aliyekuwa mwana wa Yakobo, mwana wa Isaka, mwana wa Abrahamu, mwana wa Tera, mwana wa Nahori,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 aliyekuwa mwana wa Yakobo, mwana wa Isaka, mwana wa Abrahamu, mwana wa Tera, mwana wa Nahori,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Yuda alikuwa mwana wa Yakobo, Yakobo alikuwa mwana wa Isaka, Isaka alikuwa mwana wa Ibrahimu, Ibrahimu alikuwa mwana wa Tera, Tera alikuwa mwana wa Nahori,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Yuda alikuwa mwana wa Yakobo, Yakobo alikuwa mwana wa Isaka, Isaka alikuwa mwana wa Ibrahimu, Ibrahimu alikuwa mwana wa Tera, Tera alikuwa mwana wa Nahori,

Tazama sura Nakili

Luka 3:34
10 Marejeleo ya Msalaba  

Ibrahimu alimzaa Isaak; Isaak akamzaa Yakob; Yakob akamzaa Yuda na ndugu zake;

wa Aminadab, wa Aram, wa Esrom, wa Fares, wa Yuda,

wa Saruhu, wa Ragau, wa Faleg, wa Eber, wa Sala,

Akampa agano la Tohara; bassi Ibrahimu akazaa Isaak, akamtahiri siku ya nane. Isaak akamzaa Yakobo, Yakobo akawazaa wale thenashara, wazee wetu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo