Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 3:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Nae Yesu mwenyewe alipokuwa akianza kufundisha, umri wake amekuwa miaka thelathini, akidhaniwa kuwa mwana wa Yusuf, wa Eli,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Yesu alipoanza kazi yake hadharani alikuwa na umri upatao miaka thelathini, na watu walidhani yeye ni mtoto wa Yosefu mwana wa Heli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Yesu alipoanza kazi yake hadharani alikuwa na umri upatao miaka thelathini, na watu walidhani yeye ni mtoto wa Yosefu mwana wa Heli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Yesu alipoanza kazi yake hadharani alikuwa na umri upatao miaka thelathini, na watu walidhani yeye ni mtoto wa Yosefu mwana wa Heli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Isa alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza huduma yake. Alikuwa akidhaniwa kuwa mwana wa Yusufu. Yusufu alikuwa mwana wa Eli,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Isa alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza huduma yake. Alikuwa akidhaniwa kuwa mwana wa Yusufu, Yusufu alikuwa mwana wa Eli,

Tazama sura Nakili




Luka 3:23
20 Marejeleo ya Msalaba  

KITABU eba ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daud, mwana wa Ibrahimu.


Yakob akamzaa Yusuf mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwae Kristo.


Yese akamzaa mfalme Daud. Mfalme Daud na mke wa Uria wakamzaa Suleman;


Huyu si mwana wa sermala? mama yake sio yeye aitwae Mariamu? Na ndugu zake Yakobo, na Yose, na Simon, na Yuda?


Tokea wakati huo Yesu akaanza kukhubiri, na kusema, Tubuni, maana ufalme wa mbinguni umekaribia.


Huyu si yule sermala, mwana wa Mariamu, na ndugu wii Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simon? na ndugu zake wanawake hawapo hapa petu? Wakachukizwa nae.


Nao walipomwona wakashangaa sana; mama yake akamwambia, Mwanangu, kwani ukatutenda hivi? Tazama, baba yako na mimi tulikuwa tukikutafuta kwa huzuni.


wa Melea, wa Mainan, wa Mattatha, wa Nathan, wa Daud,


Wakamshuhudia wote, wakayastaajabia maneno ya neema yaliyotoka kinywani mwake: wakanena, Huyu siye Mwana wa Yusuf?


Filipo akamwona Nathanaeli, akamwambia, Tumemwona yeye aliyeandikiwa na Musa katika torati, na na manabii, Yesu, mwana wa Yusuf, mtu wa Nazareti


Wakanena, Huyu siye Yesu, mwana wa Yusuf, ambae twamjua baba yake na mama yake? Bassi, anenaje huyu, Nimeshuka kutoka mbinguni?


KITABU kile cha kwanza nalikifanya, Theofilo, katika khabari ya mambo yote aliyoanza kufanya Yesu na kufundisha,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo