Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 3:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Na watu wote walipokwisha kubatizwa, na Yesu nae akiisha kubatizwa, na akisali, mbingu zilifunuka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Watu wote walipokuwa wamekwisha batizwa, Yesu naye alibatizwa. Na alipokuwa akisali, mbingu zilifunguka,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Watu wote walipokuwa wamekwisha batizwa, Yesu naye alibatizwa. Na alipokuwa akisali, mbingu zilifunguka,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Watu wote walipokuwa wamekwisha batizwa, Yesu naye alibatizwa. Na alipokuwa akisali, mbingu zilifunguka,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Baada ya watu wote kubatizwa, Isa naye akabatizwa. Naye alipokuwa akiomba, mbingu zilifunguka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Baada ya watu wote kubatizwa, Isa naye akabatizwa. Naye alipokuwa akiomba, mbingu zilifunguka.

Tazama sura Nakili

Luka 3:21
11 Marejeleo ya Msalaba  

Alipokwisha kuwaaga makutano, akapanda mlimani kwa faragha, kwenda kusali. Na ilipokuwa jioni, alikuwako huko peke yake.

Lakini yeye alikuwa akijitenga jangwani na kusali.

Ikawra alipokuwa akisali peke yake wanafunzi wake walikuwa pamoja nae: akawanliza, akisema, Makutano huninena mimi kuwa nani?

Akamwambia, Amin, amin, nakuambieni, Tangu sasa mtaziona mbingu zimefunguka, na malaika wa Mungu wakipanda, wakishuka juu ya Mwana wa Adamu.

akianza tangu ubatizo wa Yohana, hatta siku ile alipochukuliwa kwetu kwenda juu, lazima mmoja wao afanywe shahidi wa kufufuka kwake pamoja nasi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo