Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 3:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 wakati wa ukuhani ukuu wa Anna na Kayafa, neno la Mungu likamfikia Yohana, mwana wa Zakaria, jangwani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 na Anasi na Kayafa walikuwa makuhani wakuu. Wakati huo ndipo neno la Mungu lilipomjia Yohane mwana wa Zakaria, kule jangwani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 na Anasi na Kayafa walikuwa makuhani wakuu. Wakati huo ndipo neno la Mungu lilipomjia Yohane mwana wa Zakaria, kule jangwani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 na Anasi na Kayafa walikuwa makuhani wakuu. Wakati huo ndipo neno la Mungu lilipomjia Yohane mwana wa Zakaria, kule jangwani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 nao Anasi na Kayafa wakiwa makuhani wakuu, neno la Mungu likamjia Yahya, mwana wa Zakaria huko jangwani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 nao Anasi na Kayafa wakiwa makuhani wakuu, neno la Mungu likamjia Yahya, mwana wa Zekaria huko jangwani.

Tazama sura Nakili




Luka 3:2
21 Marejeleo ya Msalaba  

Nao wakienda zao, Yesu akaanza kuwaambia makutano khabari za Yohana, Mlitoka kwenda jangwani kutazama nini? Unyasi ukilikiswa na upepo?


Ndipo makubani wakuu, na waandishi, na wazee wa watu wakakusanyika katika behewa ya kuhani mkuu aliyeitwa Kayafa;


kama ilivyoandikwa katika chuo cha manabii, Angalia, mimi namtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako, Atakaefanyiza njia yako mbele yako.


Yule mtoto akakua akaongezeka nguvu rohoni; akawako majangwani hatta siku ya kutokea kwake kwa Israeli.


Akasema, Mimi ni sauti ya mtu apaazae sauti jangwani, Inyosheni njia ya Bwana! kama alivyonena nabii Isaya.


Bassi Anna akampeleka amefungwa kwa Kayafa kuhani mkuu.


na Kayafa pia, na Yohana, na Iskander, na wo wote waliokuwa jamaa zake kuhani mkuu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo