Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 3:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Watoza ushuru nao wakaja illi kubatizwa, wakamwambia, Mwalimu, tufanyeni?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Nao watozaushuru wakaja pia ili wabatizwe, wakamwuliza, “Mwalimu, tufanye nini?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Nao watozaushuru wakaja pia ili wabatizwe, wakamwuliza, “Mwalimu, tufanye nini?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Nao watozaushuru wakaja pia ili wabatizwe, wakamwuliza, “Mwalimu, tufanye nini?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Watoza ushuru nao wakaja ili wabatizwe, wakamuuliza, “Mwalimu na sisi inatupasa tufanyeje?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Watoza ushuru nao wakaja ili wabatizwe, wakamuuliza, “Bwana, na sisi inatupasa tufanyeje?”

Tazama sura Nakili




Luka 3:12
8 Marejeleo ya Msalaba  

Maana mkiwapenda wanaowapendani, mwapata thawabu gani? Hatta watoza ushuru, je, nao hawafanyi yayo hayo?


Na yule mtoza ushuru akasimama mbali, asitake hatta kuinua macho yake mbinguni; hali akajipigapiga kifua, akisema, Mungu, uniwie radhi mimi mwenye dhambi.


Nao makutano wakamwuliza wakinena, Tufanyeni, bassi?


Akawaambia, Msifoze kitu zaidi ya vile mlivyoamriwa.


Watu wote na watoza ushuru waliposikia wakampa Mungu haki, kwa kuwa wamebatizwa kwa ubatizo wa Yohana.


Walipoyasikia haya wakachomwa mioyo yao, wakamwambia Petro na mitume wengine, Tutendeje, ndugu zetu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo