Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 24:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 ya kwamba imempasa Mwana wa Adamu kutiwa katika mikono ya watu wenye dhambi, na kusulibiwa, na kufufuka siku ya tafu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 ‘Ni lazima Mwana wa Mtu atolewe kwa watu waovu, nao watamsulubisha na siku ya tatu atafufuka.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 ‘Ni lazima Mwana wa Mtu atolewe kwa watu waovu, nao watamsulubisha na siku ya tatu atafufuka.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 ‘Ni lazima Mwana wa Mtu atolewe kwa watu waovu, nao watamsulubisha na siku ya tatu atafufuka.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 ‘Ilikuwa lazima Mwana wa Adamu atiwe mikononi mwa watu wenye dhambi na waovu ili asulubiwe, na siku ya tatu afufuke.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 ‘Ilikuwa lazima Mwana wa Adamu atiwe mikononi mwa watu wenye dhambi na waovu ili asulubiwe, na siku ya tatu afufuke.’ ”

Tazama sura Nakili

Luka 24:7
4 Marejeleo ya Msalaba  

Toka wakati huo Yesu akaanza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemi, na kuteswa mengi na wazee na makuhani wakuu, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.

Haikumpasa Kristo kupata mateso haya, ndipo aingie enzini mwake?

Akawaambia, Ndivyo ilivyoandikwa, na ndivyo ilivyompasa Kristo kuteswa, na kufufuka siku ya tatu;

Sisi tulio Wayahudi kwa asili, wala si wenye dhambi wa mataifa,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo