Luka 24:53 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192153 wakawa daima ndani ya hekalu, wakimsifu Mungu na kumhimidi. Amin. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema53 Wakakaa muda wote hekaluni wakimsifu Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND53 Wakakaa muda wote hekaluni wakimsifu Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza53 wakakaa muda wote hekaluni wakimsifu Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu53 Nao wakadumu ndani ya Hekalu wakimtukuza Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu53 Nao wakadumu ndani ya Hekalu wakimtukuza Mungu. Amen. Tazama sura |