Luka 24:50 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192150 Akawaongoza nje mpaka Bethania: akainua mikono yake, akawabariki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 Kisha akawaongoza nje ya mji hadi Bethania, akainua mikono yake juu, akawabariki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 Kisha akawaongoza nje ya mji hadi Bethania, akainua mikono yake juu, akawabariki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 Kisha akawaongoza nje ya mji hadi Bethania, akainua mikono yake juu, akawabariki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 Baada ya kuwaongoza hadi Bethania, akainua mikono yake juu na kuwabariki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 Akiisha kuwaongoza mpaka kwenye viunga vya Bethania, akainua mikono yake juu na kuwabariki. Tazama sura |