Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 24:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Nao wakiingiwa na khofu na kuinama kifudifudi hatta inchi, wakawaambia, Kwa nini mnamtafuta aliye hayi katika wafu? Hayupo hapa, bali amefufuka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Hao wanawake wakaingiwa na hofu, wakainama chini. Ndipo wale watu wakawaambia, “Kwa nini mnamtafuta aliye hai kati ya wafu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Hao wanawake wakaingiwa na hofu, wakainama chini. Ndipo wale watu wakawaambia, “Kwa nini mnamtafuta aliye hai kati ya wafu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Hao wanawake wakaingiwa na hofu, wakainama chini. Ndipo wale watu wakawaambia, “Kwa nini mnamtafuta aliye hai kati ya wafu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Wale wanawake, wakiwa na hofu, wakainamisha nyuso zao hadi chini. Lakini wale watu wakawaambia, “Kwa nini mnamtafuta aliye hai miongoni mwa wafu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Wale wanawake, wakiwa na hofu, wakainamisha nyuso zao mpaka chini. Lakini wale watu wakawaambia, “Kwa nini mnamtafuta aliye hai miongoni mwa wafu?

Tazama sura Nakili




Luka 24:5
15 Marejeleo ya Msalaba  

Nae akafadhaika kwa khabari ya neno hili, akawaza moyoni mwake, Hii ni salamu gani?


Ikawa wangali wakishangaa kwa haya, kumbe! watu wawili wakisimama karibu yao, wamevaa nguo za kumetameta.


Kumbukeni jinsi alivyosema nanyi alipokuwa hajatoka Galilaya, akinena,


Mungu akamfufua, akilegeza utungu wa mauti, kwa sababu haikuwezekana ashikwe nao.


Na hapo wana Adamu wapaswao na kufa hutwaa sehemu ya kumi; bali huku yeye ashubudiwae kwamba yu hayi.


na aliye hayi; nami nalikuwa nimekufa, na tazama ni hayi hatta milele na milele. Amin. Nami ninazo funguo za mauti, na za kuzimu.


Na kwa malaika wa kanisa lililo katika Smurna andika; Haya ayanena yeye aliye wa kwanza na wa mwisbo, aliyekuwa amekufa, akawa hayi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo