Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 24:46 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

46 Akawaambia, Ndivyo ilivyoandikwa, na ndivyo ilivyompasa Kristo kuteswa, na kufufuka siku ya tatu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

46 Akawaambia, “Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka kwa wafu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

46 Akawaambia, “Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka kwa wafu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

46 Akawaambia, “Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka kwa wafu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

46 Akawaambia, “Haya ndio yaliyoandikwa: Al-Masihi atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka kwa wafu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

46 Akawaambia, “Haya ndiyo yaliyoandikwa: Al-Masihi atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka kwa wafu.

Tazama sura Nakili




Luka 24:46
11 Marejeleo ya Msalaba  

Mwana wa Adamu aenda zake, kama alivyoandikiwa: lakini ole wake mtu yule ambae Mwana wa Adamu anasalitiwa nae! Ingekuwa kheri kwake mtu yule kama asingalizaliwa.


Akawaambia, Haya ndiyo maneno yangu niliyowaambieni, nilipokuwa kwenu, ya kuwa hayana buddi kutimizwa yote niliyoandikiwa katika torati ya Musa, na katika manabii, na katika zaburi.


ya kwamba imempasa Mwana wa Adamu kutiwa katika mikono ya watu wenye dhambi, na kusulibiwa, na kufufuka siku ya tafu.


Kwa maana hawajalifahamu andiko bado, kwamba imempasa kufufuka.


akiyafunua na kuwaeleza ya kwamba ilimpasa Kristo kuteswa, na kufufuka katika wafu; na ya kama, Yesu huyu ninaewapasha ninyi khabari zake ndiye Kristo.


Wala hakuna wokofu katika mwingine aliye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wana Adamu litupasalo kuokolewa nalo.


Ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, ambae kwa rehema zake nyingi alituzaa marra ya pili tupate tumaini lenye uzima kwa kufufuliwa kwake Yesu Kristo,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo