Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 24:41 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

41 Bassi, wakiwa bado kuamini kwa furaha, wakitaajabu, akawaambia, Mna kitu cha kula hapa?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

41 Wakiwa bado katika hali ya kutosadiki kwa sababu ya furaha yao, na wakiwa wanastaajabu, akawauliza, “Mnacho chakula chochote hapa?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

41 Wakiwa bado katika hali ya kutosadiki kwa sababu ya furaha yao, na wakiwa wanastaajabu, akawauliza, “Mnacho chakula chochote hapa?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

41 Wakiwa bado katika hali ya kutosadiki kwa sababu ya furaha yao, na wakiwa wanastaajabu, akawauliza, “Mnacho chakula chochote hapa?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

41 Wakashindwa kuamini kwa ajili ya furaha na mshangao waliokuwa nao. Akawauliza, “Mna chakula chochote hapa?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

41 Wakashindwa kuamini kwa ajili ya furaha na mshangao waliokuwa nao. Akawauliza, “Mna chakula chochote hapa?”

Tazama sura Nakili

Luka 24:41
14 Marejeleo ya Msalaba  

Na hawa waliposikia kama yu hayi akaonwa nae, hawakusadiki.

Na hawa wakaenda zao wakawapa khabari wale wengine: wala hawakuwasadiki hawa.

Baadae akaonekana na wale edashara walipokuwa wakila, akawalaumu kwa kutoamini kwao na ugumu wa mioyo yao, kwa kuwa hawakuwasadiki waliomwona alipofufuka.

Walikuwa na visamaki vichache; akavibariki, akasema, na hivi waviandae.

Maneno yao yakaonekana kuwa ni upuzi kwao, wala hawakuwasadiki.

Na baada ya kusema haya akawaonyesha mikono yake na miguu yake.

Wakampa kipande cha samaki kilichookwa na asali kidogo.

Bassi na ninyi sasa hivi mna huzuni; lakini nitawaona tena, na moyo wenu utafurahi, na furaha yenu hakuna awaondoleae.

Bassi Yesu akawaambia, Wanangu, mna kitoweo? Wakamjibu, Hapana.

Alipoitambua sauti ya Petro, hakulifungua lango kwa furaha, bali alipiga mbio, akaingia ndani akawaambia kwamba Petro anasimama mbele ya lango.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo