Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 24:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Akawaambia, Mbona mmefadhaika? na kwa nini mashaka yanatokea mioyoni mwenu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Lakini yeye akawaambia, “Kwa nini mnafadhaika? Mbona mnakuwa na mashaka mioyoni mwenu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Lakini yeye akawaambia, “Kwa nini mnafadhaika? Mbona mnakuwa na mashaka mioyoni mwenu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Lakini yeye akawaambia, “Kwa nini mnafadhaika? Mbona mnakuwa na mashaka mioyoni mwenu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Lakini Isa akawauliza, “Kwa nini mnaogopa? Kwa nini mna shaka mioyoni mwenu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Lakini Isa akawauliza, “Kwa nini mnaogopa? Kwa nini mna shaka mioyoni mwenu?

Tazama sura Nakili

Luka 24:38
7 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akajua, akawaambia, Mbona mnabishana ninyi kwa ninyi, enyi wa imani haba, kwa sababu hamkuchukua mikate?

Wakafadhaika, wakaingiwa na khofu, wakidhani ya kuwa wanaona pepo.

Tazameni mikono yangu, na miguu yangu, ya kuwa ni mimi mwenyewe. Nipapaseni, mkatazame; kwa maana pepo hana mwili na mifupa, kama mnionavyo mimi kuwa nayo.

Wala hakuna kiumbe kisicho wazi mbele zake, lakini vitu vyote vi utupu, na kufunuliwa machoni pake aliye na mambo yetu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo