Luka 24:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192137 Wakafadhaika, wakaingiwa na khofu, wakidhani ya kuwa wanaona pepo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Wakashtuka na kushikwa na hofu wakidhani wameona mzimu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Wakashtuka na kushikwa na hofu wakidhani wameona mzimu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Wakashtuka na kushikwa na hofu wakidhani wameona mzimu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Wakashtuka na kuogopa wakidhani kwamba wameona mzuka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Wakashtuka na kuogopa wakidhani kwamba wameona mzuka. Tazama sura |