Luka 24:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192135 Nao wakawahadithia yale ya njiani, na jinsi alivyotambulikana nao kwa kumega mkate. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Basi, hao wafuasi wawili wakawajulisha yale yaliyowapata njiani, na jinsi walivyomtambua katika kumega mkate. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Basi, hao wafuasi wawili wakawajulisha yale yaliyowapata njiani, na jinsi walivyomtambua katika kumega mkate. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Basi, hao wafuasi wawili wakawajulisha yale yaliyowapata njiani, na jinsi walivyomtambua katika kumega mkate. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Kisha wale wanafunzi wawili wakaeleza yaliyotukia njiani na jinsi walivyomtambua Isa alipoumega mkate. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Kisha wale wanafunzi wawili wakaeleza yaliyotukia njiani na jinsi walivyomtambua Isa alipoumega mkate. Tazama sura |