Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 24:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Wakamshurutisha, wakisema, Kaa pamoja nasi, kwa maana kumekuchwa, na mchana unakwisha sasa. Akaingia kukaa nao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 lakini wao wakamsihi wakisema, “Kaa pamoja nasi, maana kunakuchwa, na usiku unakaribia.” Basi, akaingia kijijini, akakaa pamoja nao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 lakini wao wakamsihi wakisema, “Kaa pamoja nasi, maana kunakuchwa, na usiku unakaribia.” Basi, akaingia kijijini, akakaa pamoja nao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 lakini wao wakamsihi wakisema, “Kaa pamoja nasi, maana kunakuchwa, na usiku unakaribia.” Basi, akaingia kijijini, akakaa pamoja nao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Lakini wao wakamsihi sana akae nao, wakisema, “Kaa hapa nasi, kwa maana sasa ni jioni na usiku unaingia.” Basi akaingia ndani kukaa nao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Lakini wao wakamsihi sana akae nao, wakisema, “Kaa hapa nasi, kwa maana sasa ni jioni na usiku unaingia.” Basi akaingia ndani kukaa nao.

Tazama sura Nakili

Luka 24:29
6 Marejeleo ya Msalaba  

Yule Bwana akamwambia mtumishi wake, Kaenda barabarani na mipakani, ukawashurutishe waingie illi nyumba yangu ipate kujaa.

Wakakikaribia kijiji walikokuwa wakienda; nae akajifanya kama anataka kwenda mbele.

Ikawa, akiketi pamoja nao, akautwaa mkate, akaubariki, akaumega, akawagawia.

Mwanamke mnioja, jina lake Ludia, mwenye kuuza rangi ya zambarao, mwenyeji wa Thuatira, mcha Mungu, akatusikiliza. Moyo wake huyu ukafunguliwa na Bwana, ayaangalie mineno yaliyonenwa na Paolo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo