Luka 24:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192128 Wakakikaribia kijiji walikokuwa wakienda; nae akajifanya kama anataka kwenda mbele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Walipokikaribia kile kijiji walichokuwa wanakiendea, Yesu akafanya kana kwamba anaendelea na safari; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Walipokikaribia kile kijiji walichokuwa wanakiendea, Yesu akafanya kana kwamba anaendelea na safari; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Walipokikaribia kile kijiji walichokuwa wanakiendea, Yesu akafanya kana kwamba anaendelea na safari; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Nao walipokaribia kile kijiji walichokuwa wakienda, Isa akawa kama anaendelea mbele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Nao walipokaribia kile kijiji walichokuwa wakienda, Isa akawa kama anaendelea mbele. Tazama sura |