Luka 24:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192124 Na wengine waliokuwa pamoja nasi wakaenda kaburini, wakaona vivyo hivyo kama wanawake walivyosema; illa yeye hawakumwona. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Wengine wetu walikwenda kaburini wakashuhudia yale waliyosema hao wanawake; ila yeye hawakumwona.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Wengine wetu walikwenda kaburini wakashuhudia yale waliyosema hao wanawake; ila yeye hawakumwona.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Wengine wetu walikwenda kaburini wakashuhudia yale waliyosema hao wanawake; ila yeye hawakumwona.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Kisha baadhi ya wenzetu walienda kaburini wakalikuta kama vile wale wanawake walivyokuwa wamesema, lakini yeye hawakumwona.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Kisha baadhi ya wenzetu walikwenda kaburini wakalikuta kama vile wale wanawake walivyokuwa wamesema, lakini yeye hawakumwona.” Tazama sura |