Luka 24:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192123 wasioukuta mwili wake, wakaja, wakasema ya kwamba wametokewa na malaika, waliowaambia yu hayi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 wasiukute mwili wake. Wakarudi wakasema kwamba walitokewa na malaika waliowaambia kwamba alikuwa hai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 wasiukute mwili wake. Wakarudi wakasema kwamba walitokewa na malaika waliowaambia kwamba alikuwa hai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 wasiukute mwili wake. Wakarudi wakasema kwamba walitokewa na malaika waliowaambia kwamba alikuwa hai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 lakini hawakuukuta mwili wake. Walirudi wakasema wameona maono ya malaika ambao waliwaambia kwamba Isa yu hai. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 lakini hawakuukuta mwili wake. Walirudi wakasema wameona maono ya malaika ambao waliwaambia kwamba Isa yu hai. Tazama sura |