Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 24:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Kuna tena wanawake wengine wa kwetu waliotustusha, wakiamkia mapema kwenda kaburini:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Tena, wanawake wengine wa kwetu wametushtua. Walikwenda kaburini mapema asubuhi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Tena, wanawake wengine wa kwetu wametushtua. Walikwenda kaburini mapema asubuhi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Tena, wanawake wengine wa kwetu wametushtua. Walikwenda kaburini mapema asubuhi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Isitoshe, baadhi ya wanawake katika kundi letu wametushtusha. Walienda kaburini leo alfajiri,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Isitoshe, baadhi ya wanawake katika kundi letu wametushtusha. Walikwenda kaburini leo alfajiri,

Tazama sura Nakili




Luka 24:22
6 Marejeleo ya Msalaba  

wasioukuta mwili wake, wakaja, wakasema ya kwamba wametokewa na malaika, waliowaambia yu hayi.


Mariamu Magdalene akaenda akawapasha wanafunzi khabari ya kwamba amemwona Bwana, na ya kwamba amemwambia haya.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo