Luka 24:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19212 Wakalikuta lile jiwe limefingirishwa mbali ya kaburi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Walikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Walikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Walikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Wakakuta lile jiwe limevingirishwa kutoka mdomo wa kaburi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Wakakuta lile jiwe limevingirishwa kutoka kwenye kaburi, Tazama sura |