Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 24:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Akawaambia, Maneno gani haya mnayobishana katika kutembea kwenu? na tena nyuso zenu zimekunjamana.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Akawauliza, “Mnazungumza nini huku mnatembea?” Nao wakasimama kimya, nyuso zao wamezikunja kwa huzuni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Akawauliza, “Mnazungumza nini huku mnatembea?” Nao wakasimama kimya, nyuso zao wamezikunja kwa huzuni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Akawauliza, “Mnazungumza nini huku mnatembea?” Nao wakasimama kimya, nyuso zao wamezikunja kwa huzuni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Akawauliza, “Ni mambo gani haya mnayozungumza wakati mnatembea?” Wakasimama, nyuso zao zikionesha huzuni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Akawauliza, “Ni mambo gani haya mnayozungumza wakati mnatembea?” Wakasimama, nyuso zao zikionyesha huzuni.

Tazama sura Nakili

Luka 24:17
5 Marejeleo ya Msalaba  

Macho yao yakafumbwa, wasipate kumtambua.

Akajibu mmoja wao, jina lake Kleopa, akamwambia, Je! wewe peke yako u mgeni katika Yerusalemi, usiyajue yaliyokuwa ndani yake siku hizi?

Illa kwa sababa nimewaambieni haya, huzimi imejaa mioyoni mwenu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo