Luka 24:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192115 Ikawa katika kuzumgumza kwao na kuulizana, Yesu mwenyewe akakaribia, akafuatana nao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Yesu mwenyewe akatokea, akatembea pamoja nao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Yesu mwenyewe akatokea, akatembea pamoja nao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Yesu mwenyewe akatokea, akatembea pamoja nao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Isa mwenyewe akaja akatembea pamoja nao, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Isa mwenyewe akaja akatembea pamoja nao, Tazama sura |